Ufafanuzi wa kitakataka katika Kiswahili

kitakataka

nominoPlural vitakataka

  • 1

    kitu kidogo sana kama vile mchanga, kijibanzi, n.k., agh. kinapoingia katika jicho au sikio.

    ‘Kitakataka kimeniingia jichoni’

Matamshi

kitakataka

/kitakataka/