Ufafanuzi wa kitale katika Kiswahili

kitale

nominoPlural vitale

  • 1

    nazi changa iliyopita hali ya kidaka lakini bado haijawa dafu.

  • 2

    kifuu cha kitale ambacho huliwa.

Matamshi

kitale

/kitalɛ/