Ufafanuzi wa kitalu katika Kiswahili

kitalu

nominoPlural vitalu

 • 1

  eneo dogo kama bustani lililopandwa miti ya matunda.

 • 2

  bustani ya kukuzia miche kabla ya kupandikizwa.

  kitangu

 • 3

  eneo lililopimwa viwanja vya kujengea.

Matamshi

kitalu

/kitalu/