Ufafanuzi wa kitambaa katika Kiswahili

kitambaa

nominoPlural vitambaa

 • 1

  kipande cha nguo kinachotumiwa kushonea vitu k.v. mavazi.

 • 2

  kipande cha nguo kinachotumiwa kwa shughuli mbalimbali.

  ‘Kitambaa cha mkono’
  ‘Kitambaa cha kichwa’
  ‘Kitambaa cha meza’
  bura

Matamshi

kitambaa

/kitamba:/