Ufafanuzi wa kitambi katika Kiswahili

kitambi

nominoPlural vitambi

  • 1

    nguo kama kikoi inayotumiwa kwa kuvaa, kujiambika au kupigia kilemba, agh. hufumwa kwa mkono na yenye nyuzi nzito.

    bura

Matamshi

kitambi

/kitambi/