Ufafanuzi msingi wa kitambo katika Kiswahili

: kitambo1kitambo2

kitambo1

nomino

  • 1

    urefu wa muda.

    ‘Tangu aondoke ni kitambo’
    ‘Ameondoka kitambo kidogo tu’
    muda

Matamshi

kitambo

/kitambO/

Ufafanuzi msingi wa kitambo katika Kiswahili

: kitambo1kitambo2

kitambo2

nomino

Matamshi

kitambo

/kitambO/