Ufafanuzi wa kitambulisho katika Kiswahili

kitambulisho

nominoPlural vitambulisho

  • 1

    barua, kadi, cheti au kitu cha kujulisha mtu fulani ni nani.

Matamshi

kitambulisho

/kitambuliʃɔ/