Ufafanuzi msingi wa kitanda katika Kiswahili

: kitanda1kitanda2kitanda3

kitanda1

nomino

 • 1

  kifaa chenye umbo la mstatili na miguu minne, kinachotumiwa kwa kulalia.

 • 2

  kifaa cha kulalia chenye umbo lolote na kisichokuwa na miguu.

Matamshi

kitanda

/kitanda/

Ufafanuzi msingi wa kitanda katika Kiswahili

: kitanda1kitanda2kitanda3

kitanda2

nomino

Matamshi

kitanda

/kitanda/

Ufafanuzi msingi wa kitanda katika Kiswahili

: kitanda1kitanda2kitanda3

kitanda3

nomino

  Matamshi

  kitanda

  /kitanda/