Ufafanuzi msingi wa kitanga katika Kiswahili

: kitanga1kitanga2kitanga3kitanga4kitanga5

kitanga1

nominoPlural vitanga

 • 1

  mkeka wa duara utumikao k.v. kuwekea na kuanikia vyakula au kukalia.

  tuguu, dugu

Matamshi

kitanga

/kitanga/

Ufafanuzi msingi wa kitanga katika Kiswahili

: kitanga1kitanga2kitanga3kitanga4kitanga5

kitanga2

nominoPlural vitanga

Matamshi

kitanga

/kitanga/

Ufafanuzi msingi wa kitanga katika Kiswahili

: kitanga1kitanga2kitanga3kitanga4kitanga5

kitanga3

nominoPlural vitanga

 • 1

  sahani au kopo la mizani.

  ‘Kitanga cha mizani’

Matamshi

kitanga

/kitanga/

Ufafanuzi msingi wa kitanga katika Kiswahili

: kitanga1kitanga2kitanga3kitanga4kitanga5

kitanga4

nominoPlural vitanga

 • 1

  mahali anapokaa mteja wakati anapopigiwa kofi au kuchuliwa ugangani.

Matamshi

kitanga

/kitanga/

Ufafanuzi msingi wa kitanga katika Kiswahili

: kitanga1kitanga2kitanga3kitanga4kitanga5

kitanga5

nominoPlural vitanga

 • 1

  mwanga unaozunguka kitu k.v. mwezi.

Matamshi

kitanga

/kitanga/