Ufafanuzi wa kitangatangae katika Kiswahili

kitangatangae

nominoPlural vitangatangae

  • 1

    samaki wa bahari jamii ya kipepeo.

Matamshi

kitangatangae

/kitangatangajɛ/