Ufafanuzi wa kitanguo katika Kiswahili

kitanguo

nominoPlural vitanguo

  • 1

    kitu kinachofuta au kubatilisha.

Matamshi

kitanguo

/kitanguwO/