Ufafanuzi msingi wa kitanzi katika Kiswahili

: kitanzi1kitanzi2kitanzi3

kitanzi1

nomino

  • 1

    kamba au uzi uliofungwa kwa duara.

Matamshi

kitanzi

/kitanzi/

Ufafanuzi msingi wa kitanzi katika Kiswahili

: kitanzi1kitanzi2kitanzi3

kitanzi2

nomino

  • 1

    umbo au sura ya duara.

Matamshi

kitanzi

/kitanzi/

Ufafanuzi msingi wa kitanzi katika Kiswahili

: kitanzi1kitanzi2kitanzi3

kitanzi3

nomino

  • 1

    kidude anachowekewa mwanamke ili kuzuia asipate mimba.

Matamshi

kitanzi

/kitanzi/