Ufafanuzi wa kitasa katika Kiswahili

kitasa

nomino

  • 1

    kifaa mfano wa kisanduku kidogo chenye komeo ndani, kitumiwacho kwa kufungia k.v. mlango, sanduku au kabati.

Matamshi

kitasa

/kitasa/