Ufafanuzi wa kitegauchumi katika Kiswahili

kitegauchumi

nominoPlural vytegauchumi

  • 1

    rasilimali k.v. duka au kiwanda inayotumika kuzalisha mali.

Matamshi

kitegauchumi

/kitɛgautʃumi/