Ufafanuzi msingi wa kitembwe katika Kiswahili

: kitembwe1kitembwe2

kitembwe1

nominoPlural vitembwe

  • 1

    uzi utokanao na mmea unaotoa kitani k.v. jani la mgomba, mnanasi au mkonge pori.

Matamshi

kitembwe

/kitɛmbwɛ/

Ufafanuzi msingi wa kitembwe katika Kiswahili

: kitembwe1kitembwe2

kitembwe2

nominoPlural vitembwe

  • 1

    samaki jamii ya changu.

    tembo

Matamshi

kitembwe

/kitɛmbwɛ/