Ufafanuzi wa kitendawili katika Kiswahili

kitendawili

nominoPlural vitendawili

  • 1

    maneno yanayoficha maana ya kitu ili kisijulikane kwa urahisi.

    fumbo

Matamshi

kitendawili

/kitɛndawili/