Ufafanuzi msingi wa kitende katika Kiswahili

: kitende1kitende2

kitende1

nominoPlural vitende

  • 1

    sehemu ya mguu au mkono iliyovimba kutokana na ugonjwa.

Matamshi

kitende

/kitɛndɛ/

Ufafanuzi msingi wa kitende katika Kiswahili

: kitende1kitende2

kitende2

nominoPlural vitende

  • 1

    mahali anapokaa mtu na mali yake.

    maskani, makao

Matamshi

kitende

/kitɛndɛ/