Ufafanuzi wa kitetefya katika Kiswahili

kitetefya

nominoPlural vitetefya

  • 1

    kitu chochote laini au teketeke.

Matamshi

kitetefya

/kitɛtɛfja/