Ufafanuzi msingi wa kiti katika Kiswahili

: kiti1kiti2kiti3kiti4

kiti1

nominoPlural viti

 • 1

  kifaa kilichotengenezwa kwa madhumuni ya kukalia.

Matamshi

kiti

/kiti/

Ufafanuzi msingi wa kiti katika Kiswahili

: kiti1kiti2kiti3kiti4

kiti2

nominoPlural viti

 • 1

  mtu mwenye kukaliwa na pepo.

Matamshi

kiti

/kiti/

Ufafanuzi msingi wa kiti katika Kiswahili

: kiti1kiti2kiti3kiti4

kiti3

 • 1

  eneo la uchaguzi katika mipango ya utawala.

 • 2

  nafasi ya uongozi.

Matamshi

kiti

/kiti/

Ufafanuzi msingi wa kiti katika Kiswahili

: kiti1kiti2kiti3kiti4

kiti4

nominoPlural viti

 • 1

  upenu chini ya dau la mtepe.

Matamshi

kiti

/kiti/