Ufafanuzi wa kitimaguru katika Kiswahili

kitimaguru, kitimagurudumu

nominoPlural vitimaguru

  • 1

    kifaa kilichotengenezwa pamoja na magurudumu kwa madhumuni ya kumsaidia majeruhi, mgonjwa au mlemavu kukalia na kujisukuma, kusukumwa na mtu mwingine au kujiendesha kwa mashine za otomatiki.

Matamshi

kitimaguru

/kitimaguru/