Ufafanuzi wa kitindamimba katika Kiswahili

kitindamimba

nominoPlural vitindamimba

  • 1

    mtoto wa mwisho kuzaliwa.

    mziwanda

Matamshi

kitindamimba

/kitindamimba/