Ufafanuzi wa kitoweo katika Kiswahili

kitoweo

nomino

  • 1

    kitu k.v. mchuzi, mboga, samaki au nyama kinachotumiwa kwa kulia chakula.

Matamshi

kitoweo

/kitOwɛO/