Ufafanuzi wa kitubio katika Kiswahili

kitubio

nomino

  • 1

    Kidini
    sakramenti anayofanya mkosefu anayetubu dhambi zake ili apate msamaha wa Mwenyezi Mungu katika baadhi ya madhehebu ya Ukristo.

  • 2

    mahali maalumu pa kutubia dhambi au kutolea sakramenti ya kuomba msamaha.

Matamshi

kitubio

/kitubijO/