Ufafanuzi wa kitukutuku katika Kiswahili

kitukutuku

nominoPlural vitukutuku

  • 1

    mdudu mdogo mwenye ngozi laini, papasi mbili kichwani na mkiani na anapenda sana kutengeneza vishimo vyenye umbo la kinu katika vumbi.

Matamshi

kitukutuku

/kitukutuku/