Ufafanuzi wa kitumbaku katika Kiswahili

kitumbaku

nominoPlural vitumbaku

  • 1

    samaki mdogo mweusi asiye na magamba na inaaminiwa kuwa kichwa chake kina ladha ya tumbaku.

    kigumugumu

Matamshi

kitumbaku

/kitumbaku/