Ufafanuzi wa Kitumbatu katika Kiswahili

Kitumbatu

nomino

  • 1

    lahaja mojawapo ya Kiswahili inayozungumzwa katika Kisiwa cha Tumbatu.

Matamshi

Kitumbatu

/kitumbatu/