Ufafanuzi wa kitumbi katika Kiswahili

kitumbi

nominoPlural vitumbi

  • 1

    funza mdogo ambaye huweza kupenya ngozi ya mtu na kuishi humo.

Matamshi

kitumbi

/kitumbi/