Ufafanuzi wa kitumbua katika Kiswahili

kitumbua

nomino

  • 1

    mkate mdogo wa mviringo unaopikwa kwa unga wa mchele na sukari na kukaangwa kwa mafuta au samli.

Matamshi

kitumbua

/kitumbuwa/