Ufafanuzi wa kitunguusaumu katika Kiswahili

kitunguusaumu

nominoPlural vitunguusaumu

  • 1

    aina ya kitunguu ambacho ni kikali sana chenye punje laini na ndefu zenye rangi ya maziwa.

Matamshi

kitunguusaumu

/kitungu:sawumu/