Ufafanuzi msingi wa kituo katika Kiswahili

: kituo1kituo2kituo3

kituo1

nomino

 • 1

  mahali pa kupumzikia katika safari.

  kambi, ago, chengo

 • 2

  mahali ambapo ndio mwisho wa safari ya mtu.

 • 3

  mahali pa kupakilia au kuteremshia abiria katika gari au basi.

  stesheni, stendi

Matamshi

kituo

/kituwO/

Ufafanuzi msingi wa kituo katika Kiswahili

: kituo1kituo2kituo3

kituo2

nomino

Matamshi

kituo

/kituwO/

Ufafanuzi msingi wa kituo katika Kiswahili

: kituo1kituo2kituo3

kituo3

nomino

 • 1

  hali ya kuwa na utulivu.

  makini

Matamshi

kituo

/kituwO/