Ufafanuzi wa kituturi katika Kiswahili

kituturi

nominoPlural vituturi

  • 1

    sehemu ndogo, chumba kidogo au kibanda cha sitara anachoingia mpiga kura kupiga kura kwa siri au mpiga simu kupiga simu.

Matamshi

kituturi

/kituturi/