Ufafanuzi wa kiu katika Kiswahili

kiu

nomino

 • 1

  tendo la kupungukiwa na maji mwilini.

  methali ‘Mnywa maji kwa mkono mmoja, kiu yake i pale pale’
  ‘Ona kiu’
  ‘Kata kiu’
  nyota

 • 2

  hali ya kutaka kupata kitu au jambo.

  uchu

Matamshi

kiu

/kiwu/