Ufafanuzi wa kiuabakteria katika Kiswahili

kiuabakteria

nominoPlural viuabakteria

  • 1

    aina ya dawa inayoua vimelea vya bakteria.

    ‘Mara nyingi vidonda husafishwa na viuabakteria’

Matamshi

kiuabakteria

/kiuwabaktɛrija/