Ufafanuzi wa kiuaviini katika Kiswahili

kiuaviini

nomino

  • 1

    aina ya dawa inayotumika kuzuia kidonda kisitunge usaha.

Matamshi

kiuaviini

/kiuwavi:ni//kiuwaviini/