Ufafanuzi msingi wa kiuka katika Kiswahili

: kiuka1kiuka2

kiuka1

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    pita juu ya kitu bila ya mguu kukigusa.

    dakia, ruka, vuka, tambuka, dupa, kia

Matamshi

kiuka

/kiwuka//kiuka/

Ufafanuzi msingi wa kiuka katika Kiswahili

: kiuka1kiuka2

kiuka2

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    fanya isivyostahili.

    vunja

Matamshi

kiuka

/kiwuka//kiuka/