Ufafanuzi wa kiumambuzi katika Kiswahili

kiumambuzi

nominoPlural viumambuzi

  • 1

    mjusi mweusi anayekaa sana chini ya ardhi tifutifu na ambaye anauma sana.

Matamshi

kiumambuzi

/kiwumambuzi/