Ufafanuzi wa kiume katika Kiswahili

kiume

kielezi

  • 1

    kama afanyavyo mwanamume, kwa tabia za mwanamume.

    ‘Msichana huyu anafanya kazi kiume’

  • 2

    kwa uvumilivu, kwa ushujaa.

Matamshi

kiume

/kiwumɛ/