Ufafanuzi wa kiungulia katika Kiswahili

kiungulia

nominoPlural kiungulia

  • 1

    hali ya kuhisi kuchoma kwenye umio na njia ya chakula juu ya tumbo kunakosababishwa na ongezeko la asidi tumboni.

    ‘Shikwa na kiungulia’

Matamshi

kiungulia

/kiwungulija/