Ufafanuzi msingi wa kivo katika Kiswahili

: kivo1kivo2

kivo1

nomino

  • 1

    kitu kilichozidi kiasi kinachotakiwa.

    ziada, nyongeza

Matamshi

kivo

/kivO/

Ufafanuzi msingi wa kivo katika Kiswahili

: kivo1kivo2

kivo2

nomino

  • 1

    kifuu cha nazi.

Matamshi

kivo

/kivO/