Ufafanuzi msingi wa kivuko katika Kiswahili

: kivuko1kivuko2kivuko3

kivuko1

nomino

  • 1

    sehemu ya kuvukia kutoka upande mmoja wa mto, ziwa au bahari hadi upande mwingine.

Matamshi

kivuko

/kivukO/

Ufafanuzi msingi wa kivuko katika Kiswahili

: kivuko1kivuko2kivuko3

kivuko2

nomino

Matamshi

kivuko

/kivukO/

Ufafanuzi msingi wa kivuko katika Kiswahili

: kivuko1kivuko2kivuko3

kivuko3

nomino

  • 1

    chombo mfano wa meli kinachovusha watu, mizigo na magari kutoka upande mmoja wa mto, ziwa au mkono wa bahari hadi upande mwingine.

    feri, pantoni

Matamshi

kivuko

/kivukO/