Ufafanuzi wa kivuli katika Kiswahili

kivuli

nominoPlural vivuli

  • 1

    taswira nyeusi ya kitu inayoonekana katika eneo la karibu wakati kitu hicho kikipigwa na mwanga.

    methali ‘Kivuli cha mvumo hufunika aliye mbali’

Matamshi

kivuli

/kivuli/