Ufafanuzi wa kivumanyuki katika Kiswahili

kivumanyuki

nomino

  • 1

    mmea wenye urefu kiasi cha mita moja unusu na majani yanayoelekeana na maua mekundu au ya urujuani yanayonukia.

Matamshi

kivumanyuki

/kivuma3uki/