Ufafanuzi wa kivumanzi katika Kiswahili

kivumanzi

nominoPlural vivumanzi

  • 1

    kengele ndogo ya kufungia shingoni wanyama wa kufugwa k.v. ng’ombe, kondoo au mbuzi.

Matamshi

kivumanzi

/kivumanzi/