Ufafanuzi wa kivumishi kionyeshi katika Kiswahili

kivumishi kionyeshi

  • 1

    neno lenye dhima ya kuvumisha ambalo hudokeza mahali mbali au karibu panapotajwa.