Ufafanuzi wa kivumvu katika Kiswahili

kivumvu

nominoPlural kivumvu

  • 1

    wasiwasi na huzuni inayompata mtu k.v. mume au mke kwa kuondokewa na mpenzi wake; hali ya upweke.

Matamshi

kivumvu

/kivumvu/