Ufafanuzi wa kivutio katika Kiswahili

kivutio

nominoPlural vivutio

  • 1

    kitu kinachomtia mtu hamu ya kufanya jambo.

    ‘Chakula cha mchana ni kivutio muhimu kwa wafanyakazi’
    kishawishi

Matamshi

kivutio

/kivutijO/