Ufafanuzi wa kiwara katika Kiswahili

kiwara

nominoPlural viwara

  • 1

    uwanja usio na miti mikubwa ila magugu.

  • 2

    sehemu isiyo na rutuba.

    mbuga

Asili

Kar

Matamshi

kiwara

/kiwara/