Ufafanuzi wa kiweo katika Kiswahili

kiweo

nomino

  • 1

    sehemu ya mwili iliyo kati ya goti na nyonga.

    paja, ago, koro

Matamshi

kiweo

/kiwɛwO/