Ufafanuzi wa kiwete katika Kiswahili

kiwete

nominoPlural viwete

  • 1

    mtu aliyelemaa miguu yote miwili.

Matamshi

kiwete

/kiwɛtɛ/