Ufafanuzi wa kiwili katika Kiswahili

kiwili

nomino

  • 1

    mkusanyiko wa watu, agh. kwa kazi ya mashamba, ambapo togwa, chakula au pombe hutolewa kwa kufanya kazi.

    ‘Kiwili cha togwa’
    ‘Kiwili cha pombe’

Matamshi

kiwili

/kiwili/